DAR ES SALAAM:JIONI YA MARAFIKI KATIKA TAMASHA LA UIMBAJI IJUMAA 29,2015 UBUNGO HILL
Naam hii ni yetu wote,Ni kesho hauna haja ya kwenda sehemu nyingine zaidi ya UBUNGO HILL kwenye JIONI ya MARAFIKI uwasikie Ubungo Hill Choir, Kwaya ya Vijana Ubungo, Kwaya ya TUCASSA Mabibo, Light Bearers, Pearly Gate Singers, Vocapella, na Angel Magoti... Hivi unasababu za kukosa hii!!Ni Kuanzia saa 11:30 jioni hadi saa 2:30 Usiku.
Post a Comment