ARUSHA:MAONESHO YA NNE YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA YALIVYOFANA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo nchini Tanzania Prof.Elisante Ole Gabriel akihutubia kwenye maonesho hayo. |
Bendi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Waadventista (TASS) |
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Waadventista (TAPS) |
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Konferensi Unioni ya Kaskazini mwa Tanzania Gideon Msambwa akitoa maelezo kwa wanafunzi wa sekondari waliotembelea bada la mawasiliano |
Miongoni mwa Washindi wa mabanda ya Maonesho wakina na medali yao |
VGS Wakiimba kwenye tukio hilo |
The Travellers Wakiimba |
Maonesho ya ubunifu wa bidhaa mbalimbali ya nne ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Arusha pamoja na vyuo jirani yakihusisha pia shule za
sekondari,msingi na vikundi mbalimbali vya ujasiria mali yamefanyika hivi karibuni jijini Arusha.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo nchini Tanzania Prof.Elisante Ole Gabriel ndiye alikuwa Mgeni Rasmi ambeye ameishauri bodi ya Chuo kikuu cha Arusha kufanya mahusiano ya karibu na vyuo vya nje ya nchi ili kuongeza ufanisi katika taaluma hasa katika kubuni na kugundua fursa mbalimbali za kiuchumi.
Post a Comment