JUMUIA YA WATANZANIA WAADVENTISTA WA SABATO WALIOKO MAREKANI WAFANYA MKUTANO WA KIROHO
Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyo |
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901
Tumepata fursa ya kuzungumza na Mchungaji Wilbert Nfubhusa aliyetoa Wazo la Jioni (sikiliza sehemu ya wazo hilo HAPA) na Katibu Mtendaji Saburi Eliamani ambao wameeleza machache kuhusiana na TAUS
Karibu
Post a Comment