|
Dr Godwin Lekundayo katika ya wachungaji walioketi baada ya katika picha ya pamoja na wachungaji |
|
Kwaya ya Jiwe Kuu |
|
Kirumba Adventist Choir wakiimba |
|
Wachungaji na wake zo wakiimba |
Mwenyekiti wa Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Dr Godwin Lekundayo ameongoza huduma ya kuwekewa mikono wachungaji watano iliofanyika katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kirumba,Mwanza,Aprili 18,mwaka huu.
Wachungaji waliowekewa mikono ni Mch.Robert Matekele,Mch. Jeremia Hamis,Mch Paul Kwilasa,Mch Nuhu Suleiman na Mch Joram Kilinda
Post a Comment