MWANZA:BARABARA YA USAGARA KISESA KUKAMILIKA AGOSTI MOSI MWAKA HUU
Serikali ya Tanzania imesema
inatarajia kukamilisha ujenzi wa barabara ya lami kutoka usagara hadi kisesa wilayani
Magu mkoani mwanza ifikapo Agosti mosi mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na
wakala wa barabara nchini humo TANRODS hapo jana mkoni mwanza imesema kuwa
barabara hiyo ilianza kujengwa mei pili mwaka 2013 na kutarajiwa kukamilika
baada ya miezi kumi na mitano ya ujenzi hadi sasa mienzi kumi na minne
imekamilika tangu mradi guo uanze ambapo nisawa na asilimia 93 ya mradi huo
kukamilika .
Tanrods inasema kuwa
changamoto zinazosababisha mradi wa ujenzi wa barabara hiyo usikamilike kwa
wakati ni Serikali kuchelewesha malipo kwa wakandarasi.
Barabara hiyo ya usagara
hadi kisesa ina urefu wa kiometa 16.8 na inajengwa katika kiwango cha lami ili
kiungo kati ya kanda ya kaskazini magharibi na kusini mwa nchi jirani na Kenya
na kati ya eneo la Burundi na Rwanda.
Post a Comment