ANGALIA BAADHI YA PICHA ZA UZINDUZI WA DVD YA KWANZA YA LIGHT BEARERS
Ssozy Joram toka Uganda ambaye ni Mwalimu wa Ambassadors Of Christ ya Rwanda akizindua DVD ya Light Bearers |
Baadhi ya waimbaji wa kike wa Acacia Singers |
Joseph Oola akiimba |
Orrepa Sekhute Feruzi toka Afrika Kusini |
Light Bearers wakiimba |
Acacia Singers |
John Yared walishirikiana na Joseph Oola |
Didier Karasira toka Kigali,Rwanda akiimba kwa hisia |
Suzan Mkaabya toka Uganda akiimba |
Toka kushoto John Yared,Joseph Oola na James Yared |
KKKT toka Kijitonyama nao walikuwepo |
Rita Jonathan alionesha kuwa bado anakiwango |
Dada Elina toka Rwanda alibariki waliohudhuria |
Nuru Kitambo alikuwepo |
Waimbaji wa Light Bearers toka JCB Studioz ya jijini Dar es salaam April 27,mwaka huu walizindua toleo lao la kwanza la DVD,Uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa JK kwenye viwanja vya maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na waimbaji toka Tanzania,Uganda na Rwanda. (Picha zote na Emanueli Feruzi)
Post a Comment