MTANGAZAJI

MAHAFALI YA SABA YA CHUO KIKUU CHA ARUSHA NCHINI TANZANIA YAFANA



Makamu Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Gabriel Mbwana akihutubia
Kutoka kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Emmanuel Matiku,Geofrey Mbwana na Mkuu wa Chuo Dr Godwin Lekundayo

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania Mch Davis Fue na Dr Godwin Lekundayo
Mzee, Mch na Dr Kangalu Bariki Elineema akipongezwa baada ya kutunukia Shahada ya Uzamivu ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Arusha kutokana na mchango wake katika historia ya kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania

Mzee John Buyelegententani mwenye miaka 70 ambaye amehitimua shahada ya Uzamili










Mahafali ya saba ya Chuo Kikuu cha Arusha yamemaliza hii leo ambapo jumla ya wahitimu 1,024 walitunukiwa vyeti,stashahada,shahada na shahada za uzamili katika fani za thiolojia,elimu,usimamizi wa biashara,masoko,uongozi na raslimali watu.

Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa ni Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Mbwana toka nchini Marekani ambaye alishawahi kuwa mkuu wa chuo hicho kwa kipindi cha miaka miwili.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.