MTANGAZAJI

MHESHIMIWA JANUARY MAKAMBA AKIHUTUBIA WA TANZANIA DMV

Naibu Waziri wa Mawasiliani, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba alipohutubia waTanzania na jamii zao waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika Laurel Maryland Desemba 7, 2013 kwa uratibu wa blog ya VIJIMAMBO

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.