UZINDUZI WA DVD YA RESTUTA WILLIAM MWACHULA KUFANYIKA KESHO MEI 5,2013 TAZARA DAR ES SAALAM
Mtangazaji akiwa na Waimbaji wa Victory Singers toka Mwanza,Joseph Oola,Namsifu Makacha toka Arusha na Restuta Mwachula baada ya kipindi cha Lulu za Injili leo Morning Star Radio waimbaji hawa wataimba kesho Mei 5,2013 katika uzinduzi wa Dvd ya kwanza ya Restuta Mwachula toka Dar es salaam utakaofanyika katika ukumbi wa TAZARA barabara ya Nyerere kuanzia saa sita mchana
Waimbaji wengine watakaokuwepo kwenye uzinduzi huo ambao utachangia sh.3000 za kitanzania ni Angaza SDA Choir,Mbiu Kwaya,Ulongoni A,Acacia Singers na Sonda ya Dilu .
Post a Comment