MTANGAZAJI

MWIMBAJI WA AMBASSADORS OF CHRIST KUFUNGA PINGU ZA MAISHA JUMAPILI AGOSTI 12,2012Mw

Mwimbaji wa kwaya ya Ambassadors of Christ ya Kanisa la Waadventista Wasabato Remera  Ngamije Thamar akiwa na mchumba wake,hapa ilikuwa ni jumapili iliyopita katika sherehe ya utambulisho kwa ndugu jamaa na marafiki,ndoa ya mwimbaji huyo ambaye huimba sauti ya kwanza ama ya pili itafungwa Agosti 12,mwaka huu huko Rwanda

2 comments

Anonymous said...

Wishing you much blessings from Almighty God.

Anonymous said...

Hawa watu wanapendeza sana. Mungu hakuumba Thamar awe mwimbaji tu bali tazama sasa amemfanya awe pia mke wa mtanzania. "Dieu a déclaré dans la Bible que "Il n'est pas bon que l'homme soit seul." Gen. 2:24

Mtazamo News . Powered by Blogger.