MTANGAZAJI

WAADVENTISTA WASABATO JIJINI WALIPOKUTANA BIAFRA,KINONDONI-DAR ES SALAAM

 Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Mchungaji Brasius Ruguli akihojiwa na waandishi wa habari baada ya hotuba yake jana katika viwanja vya Biafra,Kinondoni jijini Dar es salaam.Katika mahojiano hayo Kiongozi huyo alisisitiza watanzania kuwa na umoja pamoja na kuwa na tofauti za imani
 Viwanja vya Biafra vilifurika washiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato wa jijini la Dar es salaam kwa ajili ya ibada maalum iliyoongozwa na Mch Ruguli



No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.