MTANGAZAJI

MAKONDAKTA WA DALADALA ZA DAR ES SALAAM WANAPOAMUA KUCHUKUA NAFASI YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI
Kutokana na msongamano wa magari jijini Dar es salaam makondakta wa magari ya daladala hulazimika kusimamia zoezi la kuongoza magari katika maeneo ya makutano kama inavyonekana hapa katika maeneo ya Mwenge jana mchana

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.