FILIPO LUBUA NDANI -MAREKANI
Mwimbaji wa nyimbo za Injili toka Tanzania,Filipo Lubua ambaye ana shahada ya Elimu akiwa nchini Mississipi Marekani ambapo amekwenda kufundisha kiswahili kwa ufadhili wa ubalozi wa Marekani nchini Tanzania,Wiki mbili kabla ya kuondoka alifanya mahojiano na mtangazaji katika kipindi cha Lulu za Injili akizungumzia albamu yake ya kwanza aliyomshirikisha mwimbaji maarufu nchini Flora Mbasha
Filipo Lubua (aliyevaa T-shirt nyekundu waliosimama mstari wa pili) hapa akiwa Golden Gate Bridge, San Francisco
Hii ndo album ya kwanza ya Filipo Lubua
Post a Comment