MTANGAZAJI

FILIPO LUBUA NDANI -MAREKANI


Mwimbaji wa nyimbo za Injili toka Tanzania,Filipo Lubua ambaye ana shahada ya Elimu akiwa nchini Mississipi Marekani ambapo amekwenda kufundisha kiswahili kwa ufadhili wa ubalozi wa Marekani nchini Tanzania,Wiki mbili kabla ya kuondoka alifanya mahojiano na mtangazaji katika kipindi cha Lulu za Injili akizungumzia albamu yake ya kwanza aliyomshirikisha mwimbaji maarufu nchini Flora Mbasha

Filipo Lubua (aliyevaa T-shirt nyekundu waliosimama mstari wa pili) hapa akiwa Golden Gate Bridge, San Francisco

Hii ndo album ya kwanza  ya Filipo Lubua

2 comments

Filipo Lubua said...

Ni uzoefu mpya ambao Mungu anaenda kunipatia. Nimefurahi kukutana na marafiki wapya hapa. Niombeeni sana jamani.

Firoz Datoo said...

poa kaka nimekusoma. umependezaje?

Mtazamo News . Powered by Blogger.