UPENDO NKONE KUFUNGA NDOA NA MCHUNGAJI
Gazeti la Majira limeeleza kuwa Upendo Nkone anatarajia kuagwa oktoba 11 nyumbani kwao Kigoma,Tanzania na ndoa yake na mchungaji huyo ambaye ni mgane mwenye watoto watatu itafungwa katika kanisa la Naioth maarufu Kwa Mwasota lililopo Mabibo Makuburi jijini Dar es salaam.Mwimbaji huyo aliyeanza kuimba miaka mitano iliyopita amefanikiwa kutoa albamu tatu ambazo ni Mungu Baba,Hapa Nilipo na Zipo faida .
Post a Comment