MTANGAZAJI

MEYA WA JIJI LA MWANZA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la polisi linamshikilia meya wa Jiji la Mwanza Mstahiki Leonard Bihondo kwa kosa la kuhusika na mauaji ya katibu wa CCM kata yaIsamilo, Bi Bahati Stephano (Pichani) ambaye aliuawa kwa kuchomwa na kisu ofisini kwake mtaa wa Nera jijini Mwanza majira ya saa 6:30.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Simon Sirro amethibitisha na kusemaalikamatwa jana Uwanja wa Ndege jijini Mwanza akitokea Dar es salaam.habari kamili baadaye.


Mdau Katulanda Frederick -Mwanza

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.