MTANGAZAJI

SOUNDCRAFT 24 CHANNELS YATUA MORNING STAR RADIO 105.3 FM

Mmoja wa mafundi wa Morning Star 105.3 fm Enos Kazuzu akiikagua Soundcraft

Enos Kazuzu na Mtangazaji wakifuarahia ujio wa Soundcraft hii ni katika kuboresha matangazo yetu ambayo sasa yanasikika duniani kote

2 comments

Unknown said...

hongera kwa kupata kitu cha ukweli, maendeleo ni kusonga mbele hata kama ni kwa kujikongoja ili mradi hatua inapigwa! God bless you always!

Unknown said...

Wazo la kuwa na Televisheni pamoja na changamoto zake hatuna budi kuendelea kuliombea kwani ni njia bora ya kufikisha ujumbe. waalimu tunaelewa hilo zaidi! Tumwombe Bwana afungue njia siku moja!

Mtazamo News . Powered by Blogger.