KINYAGO KINAPORUDISHWA NYUMBANI
Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili na Utalii , Dk. Ladislaus Komba akimkabidhi Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga (kushoto) kinyago cha kimakonde ambacho kiliibwa miaka ya 84 na kupatikana nchini Uswisi kwa msaada wa Polisi wa kimataifa (Interpol).
Kinyago cha kimakonde ambacho kiliibwa na watu wasiojulikana na kupatikana katika makumbusho nchini Uswisi. Picha na habari toka www.bongodiyohome.blogspot.com
Post a Comment