MTANGAZAJI

HII HAIWEZEKANI BONGO????????


Kwa muda mrefu kumekuwa na kero kubwa ya msongamano wa magari katika miji mikubwa hapa nchini hasa hapa jijini Dar es salaam,je hili linaloonekana haliwezekani kufanyika???

1 comment

Anonymous said...

Ikiwezekana itakua safi sana kwa usafiri wa bongo sehemu za mbali, tutakalia treni za 19 and something mpaka lini?

Mtazamo News . Powered by Blogger.