MTANGAZAJI

MAFURIKO YA KILOSA


Daraja lililovunjika

Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Morogoro wakipanda kiberenge kwenda kuangalia daraja lililovunjika kutokana na mafuriko katika kijiji cha Mkadagi na Mwinisagala umbali wa zaidi ya kilomita 5 toka Kilosa mjini.(picha kwa hisani ya http://bongodiyohome.blogspot.com

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.