MTANGAZAJI

ZANZIBAR NA UTALIISanamu mfano wa watumwa zilizoko nje ya kanisa hilo hiyo minyororo ambayo iliyotumika kuwafunga watumwa ambayo ipo mpaka leo


Mtangazaji akishangaa ndai ya kanisa hilo

Mtangazaji(mwenye shati la draft) akiwa amesimama kwenye mlango wa kuingilia katika kanisa hilo

Kanisa la Anglikan(Cathedral Church of Christ Zanzibar) lililokamilika kujengwa na watumwa mwaka 1880 chini ya usimamizi wa Edward Steere aliyefariki mwaka 1882,kanisa hili liko hadi sasa katika eneo la Mkunazini huko Zanzibar mahali ambapo lilikuwa ni soko la watumwa, kanisa hili ni miongoni wa vivutio vya utalii huko Zanzibar.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.