MTANGAZAJI

SHULE YA SEKONDARI YA KISASA YA LA MIRIAM

Mmoja wa wajasiriamali na mmiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya La Miriam,Ndugu Joel Mnyuku akiwa mbele ya lango la kuingilia shuleni hapo,shule hii ni miongoni mwa shule za bweni za kisasa kwa wanafunzi wa kike hapa nchini iliyofunguliwa hivi karibuni ipo Mkundi,katika Manispaa ya Morogoro

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya La Miriam

2 comments

Jestina George said...

Well done baba Edu. Very very nice. Na hilo Jina I was like it sounds familiar. Nice one.

LATENS said...

BRAVO ILA MIMI NACKITIKA KWANINI HAWAJENGI ZA GHOROFA ILI KUMANAGE ENEO NA KUWA KISASA ZAIDI. NI HAYO TU.

Mtazamo News . Powered by Blogger.