HILI NDO SOKA LA BONGO
Beki wa Timu ya Soka ya Bukina ya mkoa wa Morogoro, Lulanga Mapunda (chini) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Temeke United Joel Mwakatala wakati wa mchezo wao wa ligi daraja la kwanza uliofanyika jana kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambapo Temeke United ilishinda kwa bao 1-0.(Picha na Juma Mtanda)
Post a Comment