Gari aina ya Fuso lenye namba ya usajili T 394 ACB likiwa limepinduka baada ya kupata ajali katika eneo la Chuo Kikuu cha Kiislam barabara ya Dodoma- Morogoro, Msamvu mjini hapa, chnzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mara moja.(Picha na Juma Mtanda)
Post a Comment