MTANGAZAJI

MTAJI WA MASKINI...........!!!

Msukuma mkokote katika Manispaa ya Morogoro akisukuma mkokoteni ambao umesheheni bidhaa za plastik tupu wakati akisafirisha kutoka soko kuu la mjini Morogoro kwenda katika stendi ya mabasi ya mikoani ya Msamvu kwa ajili ya kusafirisha kwenda katika sehemu zingine nchini ambako kuna soko zuri ya bishara hiyo.(picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.