MTANGAZAJI

CHEKA KUCHEZA NA BONDIA TOKA ARGENTINA

Bondia Francis Cheka "SMG" (pichani) toka Morogoro anayeshikilia ubingwa wa dunia wa Middle Weght wa International Circuit Boxing (ICB) amesema atakuwa na pambano na bondia toka Argentina,mwezi disemba mwaka huu jijini Dar es salaam.

3 comments

Yasinta Ngonyani said...

Nakutakia kila la kheri!!!

Anonymous said...

kaka huyo Bondia wa Argentina hana Jina? au ni Manuel Lopez??

Anonymous said...

agdp zifux Juggs hudujb d nm y mjf

Mtazamo News . Powered by Blogger.