MTANGAZAJI

HAWA GHASIA ATOA SOMO KWA WANAFUNZI MOROGORO

Waziri wa Nchi Ofisi Menejimenti Utumishi wa Umma Hawa Ghasia akifafanua jambo wakati akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya wachisana ya At-Taaun iliyopo Mjipya Manispaa katika ziara ya kutembea shule hiyo, kushoto ni Mkurugenzi wa shirika la Africa Muslims Agenc, Shekhe Ayman Mohamed(Picha na Juma Mtanda)

Waziri huyo amesema mabadiliko yanayotokea duniani katika utandawazi kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia yanaleta changamoto nyingine ikiwemo elimu.

Alisema wasichana wasimbweteke na elimu ya kidato cha nne hivyo wajitajidi kutafuta elimu zaidi ili kukabiliana na changamoto zilizopo na kujiepusha na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi, kutokana na idadi ya wasichana wanaopata mimba kuongezeka na hivyo kuwa na idadi ya watoto wa mitaani na watoto yatima ikiwena na pia akawataka kutojihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.