MTANGAZAJI

ALBINO WAPEWA MSAADA NA NMB

Meneja wa Kanda ya Mahsriki benki ya NMB, Ole Loibanguiti kulia akimkabidhi msaada wa kofia Mbunge wa Viti Maalum (walemavu), Magaret Mkanga wakati wa hafla ya kutoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya sh milion 10 kwa wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) nchini zilizofanyika katika ofisi ya benki ya NMB tawi la Wami mkoani Morogoro(picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.