MTANGAZAJI

MBUGE CHINI YA ULINZI

Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Sameer Lotto akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi akielekea katika ofisi za Upelelezi kuhojiwa wilaya mkoani hapa baada ya kutuhumiwa kumpiga mfanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Morogoro (MOROWASA), Michael Mapunda (hayupo pichani) wakati mfanyakazi huyo alipokwenda kukata huduma ya maji.(Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.