Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Morogoro (RTO) Ibrahim Mwamakula, akiwaonyesha namba za daladala na pikipiki zilizokamatwa madreva wakati wa zoezi la operesheni ya kukamata magari mabovu na pikipiki lililoanza januari 24 la nchi nzima la kukamata magari mabovu mjini MorogoroMkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Morogoro (RTO) Ibrahim Mwamakula, akikagua daladala lenye namba ya usajili T 265 AHK.
Post a Comment