TEKNOLOJIA
Mwanaisha Mdeng'o (45) mkazi wa Vibandani katika Manispaa ya Morogoro akimalizia kazi ya kufinyanga mitungi kwa ajili ya kuhifadhia maji teknolojia ambao ilianza kutumika tangu enze za mababu zetu katika eneo la makazi yake ambapo kazi hiyo imekuwa ikimpatia kipato cha kuisha na faimilia yake, mtungi mmoja huuzwa kwa kiasi cha sh. 700 hadi sh.1500 kwa mtungi mmoja
Post a Comment