MTANGAZAJI

MAUMIVU YA AJALI

"Sehemu hii ya kifua ndo inaniuma"

" Sehemu hii ya mkono ndo inauma"

"Mzee Kachua akihudumiwa chakula cha mchana na mkewe"
Blog hii leo mchana ilifika nyumbani kwa Mzee Eliamani Kachua,misufini Morogoro na kukuta akiwa anapata chakula cha mchana.Mzee Huyu alipata ajali mbaya ya gari lake alilokuwa akiliendesha ambalo lilikuwa linaabiria 11 akiwemo mtoto wa miaka 7 ambaye hii ni ajali yake ya pili baada ya kuwa miongoni mwa watoto 10 walionusurika katika ajali mbaya iliyotokea hivi karibuni huko Doma,Morogoro.
Mzee Kachua anaendelea vyema japo anasikia maumivu ya kifua na mkono,hali inayomfanya ageuke kwa tabu.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.