Carolyne Emanueli mrembo aliye na ulemavu wa kusikia(kivizi) akipita jukwaani katika shindano la Miss Morogoro 2009 ambapo alishika nafasi ya nne,mashindano ya urembo mwaka huu hapa nchini yamewashirikisha warembo walio na ulemavu.
Post a Comment