MAJERUHI WARUDI NYUMBANI
Habari zilizoifikia blog hii zinaeleza kuwa baadhi ya majeruhi wa ajali iliyotokea jumatatu na kuhusisha abiria waliokuwa wakisafiri kwenda Kilimanjaro kwa arusi lililokuwa likiendeshwa na Mzee Eliaman Kachua wamesharuhusiwa kurudi nyumbani Morogoro baada ya kuwa hospitalini huko Tumbi na Muhimbili,muda si mrefu blog hii itakuletea picha za baadhi ya wahusika hao.
Post a Comment