BREAKING NEWS
Habari ambazo zimeifikia blog hii sasa hivi zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa Mhazini wa Kiwanda cha Uchapaji cha Tanzania Adventist Press (TAP) Mzee Eliaman Kachua amepata ajali mbaya ya gari huko Mbwewe ambapo alikuwa akisafiri leo na ndugu zake kwenda Kilimajaro kwenye Arusi akiwa na Bwana arusi,Mzee Kachua ndo alikuwa akiendesha gari lake lililopata ajali. Taarifa hizo zinaeleza kuwa majeruhi wamepelekwa Tumbi,Kibaha
Blog hii itakupa habari kadri inavyoondelea kuzifuatilia
Blog hii itakupa habari kadri inavyoondelea kuzifuatilia
Post a Comment