MTANGAZAJI

UJANJA KUWANASA WAJANJA???

Haya ndo mambo ya UJANJA inavyofanya kazi kwa simu ya kiganjani

Nikiwa ni mdau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano jana jioni nilifurahi sana kusikia BBC -Idhaa ya Kiswahili,jirani zetu wa Kenya wakizungumzia jinsi kampuni ya UJANJA http://www.ujanja.com/ ilivyoanzisha program ya kuweza kugundua mwizi wa simu za kiganjani na Laptop alipo baada ya kuwa amekuibia.

Program hiyo inafanyakazi kwa simu za kiganjani na laptop inauwezo wa kukutaarifu simu yako ama laptop yako ilipo baada ya kuibwa na hivyo kuifuatilia uipate, wenzetu mlioko nchi za nje ya Afrika ya Mashariki vipi huko simu na laptop zinapoibwa mnazipataje??? Wadau wa Tanzania vipi iletwe Ujanja tuwapate wajanja????

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.