MTANGAZAJI

ROYAL ADVENT QUARTETKundi la uimbaji la Royal Advent Quartet likiimba wakati wa mkutano wa Makambi ya kanisa la Waadventista la mji kasoro bahari nchini Tanzania,mkutano huo wa kiroho wa siku saba ulihitimishwa july 7,2007,siku ambayo mwimbaji wa kundi hili Maduhu(wa kwanza kulia) ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka kadhaa

3 comments

ombui said...

Nimefurahi sana kuona Kundi la Royal Advent likiimba. Mungu awabariki sana katika huduma mnayofanya.

Nyambare said...

Royal Advent. Ningependa kuwaalika Kenya lakini sina nambari ya simu au email, nani anayo? Tafadhali nitumie kwa nyambare@gmail.com

Nyambare said...

Royal Advent. Ningependa kuwaalika Kenya lakini sina nambari ya simu au email, nani anayo? Tafadhali nitumie kwa nyambare@gmail.com

Mtazamo News . Powered by Blogger.