MANCEL NA JUBILEE
Wasikilizaji wangu naomba kuwafahamisha kuwa Juni 1 2007 huko Australia kulifanyika arusi kati ya Bi.Jubilee toka Ufilipino na Bw. Mancel wa Australia,Dada huyu ambaye nimemfahamu kwa miaka 4 iliyopita amenieleza kuwa alifahamiana na my husband wake kupitia tovuti ya SDA singles. Mancel ambaye ana miaka 51 alifanya taratibu za kumsafirisha Jubilee hadi Australia na kufunga pingu za maisha .Sasa naomba maoni yenu je uchumba wa kupitia tovuti unafaa kwa vijana ambao hawajaoa ama kuolewa?Kumbuka hawa wote ni wa SDA.
NAOMBA MAONI YENU
NAOMBA MAONI YENU
Post a Comment