MTANGAZAJI

VIDEO ZA WAIMBAJI

Kwa kuwa nyimbo zinachukua sehemu kubwa miongoni mwa mambo niyayoyafurahia maishani hii ikitokana na ukweli isiopingika kuwa zinaelimisha,zinatoa ujumbe kamili na kuburudisha maishani lakini pia hii ndo kazi ambayo itadumu katika ufalme ujao ambao wameandaliwa wale wanaomtumainia

Hivyo basi kwa namna ya pekee napenda kumpongeza na kumshukuru sana mdau wa blog hii mtanzania Bw.Donald Bitulo aliyeko Uingereza kwa kunisaidia kuwaleletea video za waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili hapa nchini na nje ya nchi ambao video zao waweza kuziona kupitia tovuti hii,angalia kulia kwa blog hii baada ya maelezo yangu (profile)utaona nimeandika majina ya waimbaji hao na utafurahia sana kusikia na kuona nyimbo zao mbalimbali.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.