MTANGAZAJI

KIRUMBA ADVENTIST CHOIR

Kwa wale wasikilizaji wangu wanaofuatilia blog hii na matangazo yetu ya AWR kwa lugha ya kiswahili watakuwa wanabarikiwa na nyimbo za waimbaji wa Kirumba Adventist Choir hii ni picha iliyopigwa mwaka 2006,hapa wakiwa ndani ya kanisa lao la Kirumba. Kwaya na kanisa hili ndo vilivyonisaidia kufika hapa nilipo sasa.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.