Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala jijini Dar es salaam,Tanzania kisha kusalimia wagonjwa,kutoa mashuka 200 kwa wagonjwa na kuzungumza na wananchi hospitalini hapo Juni Mosi Mwaka huu.
|
Post a Comment