MTANGAZAJI

RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MWENDO KASI YA MBAGALA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa Azizi Ali jijini Dar es salaam Tanzania mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.