RAIS WA TANZANIA AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua Kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery limited kilichopo Sabasaba jijini humo, ambapo alipata nafasi ya kujionea hatua mbalimbali za upokeaji malighafi, usafishaji pamoja na upatikanaji wa Dhahabu iliyosafishwa.
Post a Comment