RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUMU TOKA KWA RAIS WA RWANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta mara baada ya kuwasili Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Juni 03, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta wapili kutoka (kushoto) wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula na wakwanza kushoto ni Balozi wa Rwanda hapa nchini Meja Jenerali Charles Karamba
Post a Comment