MTANGAZAJI

RAIS WA TANZANIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI

 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi mbalimbali (Wanawake) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika  31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao.

 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.