UPANUZI WA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM,TANZANIA (+PICHA)
Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge jijini Dar es salaam,Tanzania
ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na
Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne.(Picha na IKULU)
Sehemu ya Barabara ya Morocco-Mwenge katika eneo la Fao kabla ya ujenzi wa njia hizo nne mpya.
Post a Comment