HIZI NDIO NDOA ZA BANDO NA VIFURUSHI-DKT BARAKA MUGANDA (+VIDEO)
Akiendelea na hotuba za Mkutano wa Uzoefu wa Nguvu ya MUNGU Dkt Baraka Muganda ametoa angalizo kwa vijana na watu wote wanajiandaa kuoa ama kuolewa kujiepusha na ndoa za Bando na Vifurushi.
Post a Comment