HOTUBA YA NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE KWA MKUTANO WA ATAPE 2019 (+VIDEO)
Aprili 18,2019 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya Kazi,Vijana
na Ajira Anthony Mavunde alifanya Ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya
miaka 20 ya Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali Waadventista nchini
Tanzania (ATAPE),yaliyofanyika mjini Bariadi ambapo aliitaka ATAPE kuwa
na njozi za kufanya mambo makubwa yanayoleta tija kwa Chama hicho
nchini Tanzania.
Post a Comment