MTANGAZAJI

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NA MAWASILIANO TANZANIA ATOA "NENO" KWA WAADVENTISTA (+VIDEO)



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Mawasiliano Tanzania Dkt Jim Yonaz amewahimiza Waadventista wa Sabato nchini Tanzania kuweka mikakati ya matumizi thabiti ya fursa ya matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano katika kujenga jamii bora nchini humo  na kuwalinda watoto na matumizi mabaya ya mitandao ya mawasiliano.

Dkt Yonazi  akitumia dakika 5 kwenye matangazo mbashara ya Ibada ya Mkutano wa Nyumbani Hatimaye2019 unaendeshwa kwa siku 21 toka Kinyerezi jijini Dar es salaam na Chama cha Wajasiriamali na Wanataaluma Waadventista Tanzania (ATAPE) na Taasis ya Vyombo Vya Habari kanisa hilo nchini Tanzania (TAMC)  huku akisisiza kanisa kutotumia vibaya mitandao ya kijamii.(Play video hii ili kuona na kusikiliza) 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.