MTANGAZAJI

FAHAMU AINA ZA UPENDO KATIKA MAHUSIANO-MCH CALEB MIGOMBO (+VIDEO)

 Related image

Kutokana na machapisho mbalimbali yaliyotolewa na wanafilosofia wa kigiriki PLATO na ARISTOTLE wao wameweza kuainisha aina 5 za upendo.

1.UPENDO WA WAZAZI KWA WATOTO au WATOTO KWA WAZAZI
2.UPENDO WA KUJIPENDA MWENYEWE (SELF LOVE)
3.UPENDO WA KIRAFIKI WA KAWAIDA (FRIENDSHIP LOVE)
4. UPENDO WA KAWAIDA (AGAPE LOVE)
5. UPENDO WA KIJINSIA(SEXUAL LOVE)


Aina za upendo zimekuwa zikileta sintofahamu kwa baadhi ya watu kwenye mahusiano.
Katika video hii Mch Caleb Migombo toka North Carolina nchini Marekani anatachambua aina za upendo hii ikiwa ni sehemu ya kwanza ya mada hii.(Bonyeza alama ya Play kuzama na kusikiliza mada hii)
 

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.